Hii ni sitori ya hepatitis ambayo pamoja na kwamba unaweza kupuuzia kuchoma chanjo, pamoja na kwamba unaweza kukaa mda mrefu nao hadi mpka miaka 20, pamoja kwamba wakati mwingine huoni dalili kabisaa, lakini kwenye Hepatitis B kwa watu wachache sana wanaweza kufa kwa mda mfupi sana. Sasa katika homa zote za ini, homa inayosababishwa na huyu kirusi ndo hatari kushinda wote na ndo gumzo dunia nzima kwani kirusi huyu anahusika na kutokea kwa madhara mengi na makubwa ikiwemo KIFO. Kitakwimu dunia inakadiriwa kua na watu MILIONI 248 wanaoishi na hawa virusi wa HBV na inakadiriwa pia watu wapatao 600000 HUPOTEZA MAISHA KILA MWAKA kutokana na madhara ya HBV kwa ini na sehemu zingine za mwili. Kwa kweli hili ni janga kwa taifa na dunia kwa ujumla. Nimshukuru tu Mungu kwani kwa sasa kuna chanjo nzuri dhidi ya HBV. Chanjo hii imepunguza sana maambukizi ya HBV na kwa maana hiyo vifo na madhara mengine yatokanayo na HBV yamepungua. Niwaambie tena maambukizi ya HBV yapo sana na watu hawajijui na hu...
My Health Capital is the most comprehensive Blog that caters exclusively to Health Care. We seamlessly tell you what to do to save your health. With the technical know-how, a committed team of skilled professionals infused with the latest technology, and a team with in-depth knowledge on health matters, willing to serve, you’ve My Health Capital – a reliable, unique endeavor at making you know your health.