Skip to main content

Fahamu Kuhusu Matibabu, Kinga na Makundi Maalumu Yanayostahili Kinga ya Hepatitis A.


MATIBABU YAKE (HAV). 

Ugonjwa kufuata njia bora za usafi kwa kunawa mikono kabla ya kula na baada ya kutoka chooni, kuosha mboga na matunda kabla ya kuyatumia, kupika vizuri mboga za majani na vyakula vingine kama samaki nk. Na mwisho ni kupata chanjo yake.tuzingatie pia usafi mashuleni, magerezani, makanisani, misikitini, day care ceners nk.

Huu unaisha wenyewe na hauhitaji matibabu ya aina yeyote.ikitokea ukawa unahitaji dawa ni za kudhibiti dalili ulizo nazo tu (supportive treatments). 

Jueni ya kwamba mgonjwa anapona kabisa ndani ya miezi 6 na anakua hana shida yeyote kama madhara ya HAV, ndo uzuri Wa kirusi hiki hua sio mbaya kama wenzake. 

NAMNA YA KUJIKINGA 
Njia kuu ya kujikinga na haya maambukizi ni kufuata njia bora za usafi kwa kunawa mikono kabla ya kula na baada ya kutoka chooni,kuosha mboga na matunda kabla ya kuyatumia, kupika vizuri mboga za majani na vyakula vingine kama samaki nk. na mwisho ni kupata chanjo yake, tuzingatie pia usafi mashuleni magerezani, makanisani, misikitini,day care ceners nk.

BAADHI YA MAKUNDI YANAYOHITAJI CHANJO NI:- 
1) Kupata chanjo dhidi ya kirusi hepatitis A(HAV) kwa watoto wote wenye umri Zaidi ya miezi 12. 
2) Kupata chanjo dhidi ya kirusi hepatitis A(HAV) kwa wabugia unga 
3) Kupata chanjo dhidi ya kirusi hepatitis A(HAV) kwa wanajeshi 
4) Kupata chanjo dhidi ya kirusi hepatitis A(HAV) kwa wafungwa. 
5) Makahaba, na mashoga 

 MAKUNDI MAALUMU YANAYOHITAJI CHANJO NI: - 
1) Wale wanofanya kazi day care centers. 
2) Wale wanaofanya kazi za manispaa kama majitaka, usafi nk 
3) Watoto chini ya miezi 12 
4) Wafanyakazi wa afya 
5) Mama lishe

Comments

Popular posts from this blog

The Interpretation of Hepatitis Viral Load Test.

What is HBV Quant.? Hepatitis B Virus - Viral Load, Quantitative test assesses the level of viral infection in the body. It measures the amount of viral DNA in the blood during the infection. Generally, this test is recommended to check the efficacy of hepatitis B treatment. Hepatitis B virus spreads mainly through body fluids or unsafe sexual intercourse. Mostly the symptoms of infection fade on their own after 4-8 weeks. However, in some cases, uncontrolled levels of HepB viral load can lead to chronic hepatitis infection and liver cirrhosis. Why is HBV Quant. done? The Hepatitis B Virus - Viral Load, Quantitative test is done: For the management of patients with chronic hepatitis B infection and currently on antiviral therapy For the diagnosis of hepatitis B for baseline values and during the course of therapy to assess the treatment response. What does HBV Quant. Measure? The Hepatitis B Virus - Viral Load, Quantitative test measures the amount of hepatitis B in a blo...

Kiungulia kwa Mama Mjamzito.

  Kiungulia ni tatizo linalosumbua idadi kubwa ya wanawake wakati wa ujauzito. Tatizo hili hutojikeza kwa mara ya kwanza wakati wa ujauzito kwa baadhi ya wanawake. Kiungulia husababishwa na asidi (tindikali) kumwagika kwenye koo la chakula kutoka kwenye tumbo la chakula. Kuna sababu nyingi zinazofanya Wajawazito kupata kiungulia mara kwa mara kuliko wanawake ambao sio wajawazito. Sababu hizo ni pamoja na Mabadiliko ya homoni yanayojitokeza wakati wa ujauzito pia mfuko wa uzazi kusukuma tumbo la chakula husababisha asidi kurudi kwenye koo la chakula Nini ufanye kuondoa au kupunguza kiungulia Tazama unachokula vyakula vyenye tindikali na vile vichachu ni chanzo cha asidi nyingi tumboni. Punguza vyakula na matunda machachu, nyanya, vitunguu maji, kahawa na chai nyeusi, chokleti, soda ,tangawizi na vyakula vilivyokaangwa kama chips. Kula Mara nyingi kidogo kidogo  badala ya kula milo mikubwa mitatu katika siku Unapokula hakikisha unakaa ukiwa umenyooka  usijipinde, itasa...