Ugonjwa kufuata njia bora za usafi kwa kunawa mikono kabla ya kula na baada ya kutoka chooni, kuosha mboga na matunda kabla ya kuyatumia, kupika vizuri mboga za majani na vyakula vingine kama samaki nk.
Na mwisho ni kupata chanjo yake.tuzingatie pia usafi mashuleni, magerezani, makanisani, misikitini, day care ceners nk.
Huu unaisha wenyewe na hauhitaji matibabu ya aina yeyote.ikitokea ukawa unahitaji dawa ni za kudhibiti dalili ulizo nazo tu (supportive treatments).
Jueni ya kwamba mgonjwa anapona kabisa ndani ya miezi 6 na anakua hana shida yeyote kama madhara ya HAV, ndo uzuri Wa kirusi hiki hua sio mbaya kama wenzake.
NAMNA YA KUJIKINGA
Njia kuu ya kujikinga na haya maambukizi ni kufuata
njia bora za usafi kwa kunawa mikono kabla ya kula na baada ya kutoka
chooni,kuosha mboga na matunda kabla ya kuyatumia, kupika vizuri mboga za majani
na vyakula vingine kama samaki nk. na mwisho ni kupata chanjo yake, tuzingatie
pia usafi mashuleni magerezani, makanisani, misikitini,day care ceners nk.
BAADHI YA MAKUNDI YANAYOHITAJI CHANJO NI:-
1) Kupata chanjo dhidi ya kirusi hepatitis A(HAV) kwa watoto wote wenye umri Zaidi ya miezi 12.
2) Kupata chanjo dhidi ya kirusi hepatitis A(HAV) kwa wabugia unga
3) Kupata chanjo dhidi ya kirusi hepatitis A(HAV) kwa wanajeshi
4) Kupata chanjo dhidi ya kirusi hepatitis A(HAV) kwa wafungwa.
5) Makahaba, na mashoga
MAKUNDI MAALUMU YANAYOHITAJI CHANJO NI: -
1) Wale wanofanya kazi day care centers.
2) Wale wanaofanya kazi za manispaa kama majitaka, usafi nk
3) Watoto chini ya miezi 12
4) Wafanyakazi wa afya
5) Mama lishe
Comments
Post a Comment